July 19, 2009
To destroy cannabis, nicotine and alcohol, the brain
BORIS NA LILLY BECKER
Obama and the conspiracy theorists
July 18, 2009
BUNDES LIGA
Zé you in Leverkusen and Bayern played with Lucio. Now he moves to Inter. What do you say to that?
Zé Roberto: I have already thought of something. He wanted something new. He goes to a big club and for him is great.
Zé: Bayern loses a great player. His experience in the Champions League they are still very lacking. Which interior defender Bavaria has so much international experience as he? How much will a replacement has Bavaria? Seven or eight million.
Zé: What? How little? For that money I would have bought him personally, and after the 2010 World Cup title profitably resold (laughs). Fun aside. I believe that the Bavarians are still regret the sale. Are your sales Bavaria also hinterhertrauern?
Zé: I'm not the guy who was so judged. I know that the fans have appreciated my work. But I do not like to talk. Can you understand the club, only a year to have?
Zé: Certainly. Van Bommel, they could not a year and give me two. That they could not represent. But I had a secure future for myself and my family think. How does Bavaria in negotiations?
Zé: Accurate, honest, fair. Did you get a formal farewell from Munich wanted?
Zé: Halb so wild. I have the club through the front exit. Just as I came. I do not need flowers and hugs, but would like to have good memories remain. That is, I think, succeeded
Three killed in family drama
MAMA AMNYONGA MWANAE
Inconceivable: A 33-year-old mother has her four-year-old daughter suffocated with a pillow! In the apartment in an apartment building in the Bavarian town of Dillingen (near Augsburg) passed the cruel deed. Thereafter, the mother, even the police. On Thursday afternoon, the woman called the police and said that she had killed her child. Several cars and ambulances raced to the apartment. For the little girl, it was too late, the ambulance could only find death. The mother had her little daughter around noon suffocated when the two alone in the apartment were. Meanwhile, the woman a confession stored. Against them was because of treacherous murder warrant from low motives adopt. The police also identified in a family environment.
MALOVE DAVI
The controversial "flat bordello" in Heidelberger District Rohrbach - one of Germany's four "Pussy Club stores: Actually, the city had banned the shop on Monday with the wild should drift in the low-Puff end. But a woman has chosen the etablissement rescued at the last minute: Judge Heidi Wagenblaß (50) from the Administrative Court in Karlsruhe.
There was the lawyer of the cheap brothel opposition to the ban with the municipal number 2009/0262 filed. Justification of the urgent: the threat of economic ruin of the company and the loss of the customer. " And indeed: Wagenblaß judge yesterday threatened to coercive measures such as clearance and 15 000 euro fine being back - to the Administrative Tribunal a decision. The prostitutes in the "Pussy Club" will be therefore be determined by the owner (25) and next week to receive their Free. The spokesman for the brothel, Alexander Schuh: "Our operation is very normal! Only the spa area in the basement now runs separately and sexfree as a fitness club.
" On the other hand, said City Hall spokeswoman Heike Dießelberg yesterday IMAGE: 'Until Friday morning was not a contradiction. Thus, the administration further from the closure on 20 From July ... " On Tuesday, the Office would even the first check .
July 17, 2009
RAIS JK AMPOGEZA PROF. A.TIBAIJUKA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za pongezi Prof. Anna Tibaijuka, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Makazi la Umoja wa Mataifa,
UnitedNationsHuman SettlementsProgramme (HABITAT) kwa kutunukiwa tuzo ya Mazingira ya
Rais Kikwete amemweleza Prof Tibaijuka kuwa tuzo hii inaonesha kuwa dunia nzima
inatambua uongozi wake na mafanikio katika kuendeleza makazi ya kudumu duniani.
“Sifikiriii mtu mwingine ambaye anastahili tuzo hii yenye fahari kubwa, ni wazi kwamba,
jopo lililokuchagua limechagua vema” amesema na kumuelezea kuwa tuzo hii imeleta
fahari kubwa si kwake tu ila kwa taifa zima la
“Kila Mtanzania anajivunia mafanikio yako na wanaungana nami kukutumia salaam hizi
za pongezi, kwa mara ingine umetufanya sisi sote tutembea kifua mbele,
nakutakia afya njemana mafanikio lukuki katika yote unayotarajia kufanya”.
Rais amemwambia Prof. Tibaijuka.
Prof Tibaijuka amepata Tuzo hiyo kwa pamoja na wenzie wawili ambao ni Bw. Enrique Penalosa wa
UTUMWA MAMBOLEO
Lakini, hata hii leo kuna mfumo wa kimamboleo wa watu kulazimishwa kufanya kazi na utumwa, hata hapa Ujerumani. Jambo la ajabu ambalo hutokea katika baadhi tu ya hali na dhahiri kabisa huwa ni vigumu kulielewa. Wahanga wanaendelea kubaki gizani, wakati mara zote wakiendelea kuishi hapa nchini Ujerumani kinyume na sheria. Watu hawa wanapaswa kupewa sauti na mashirika yanayoshughulika haki za binadamu na kuwasaidia kuweza kudai haki zao.
Wanafanya kazi za kushughulikia chakula, katika majumba wa watu binafsi, ama kama wafanyakazi wa biashara ya ngono katika madanguro. Ni wangapi watu hawa, hakuna mtu anayefahamu vizuri.
Ndio sababu, wengi wanaishi bila kuwa na hati za kuishi hapa Ujerumani, na wana wasi wasi wa kurejeshwa makwao.
Hakuna mtu anayeweza kusema kwa dhati, iwapo watu wanaolazimishwa kufanya kazi na biashara ya watu hapa nchini Ujerumani ni tatizo la mipaka ama ni tatizo la kuingia watu wengi. Kwamba kuna mfumo wa kisasa wa utumwa, hilo halina shaka kabisa. Ushahidi unapatikana katika kile kinachoelezwa kuwa ni ripoti ya hali ya watu kama hao katika idara ya uhalifu ya Ujerumani.
Pekee katika mwaka 2007, chini ya kichwa cha habari, utumiaji watu katika ngono, uchunguzi umefanyika katika matukio 450 , kutokana na matukio 700 yaliyoorodheshwa.
Wahanga wa kusaidiwa, ni lengo lililoelezwa katika miradi ya taasisi ya Ujerumani inayohusu haki za binadamu na wakfu wao wa ukumbusho, wajibu na hali ya baadaye, kiongozi wake, Martin Salm, ameonyesha matumaini makubwa ya hapo baadae.
Ni ishara kwa wote wanaohusika kuwa wana haki na kuna nafasi ya kupatiwa usaidizi. Ni ishara kwa jamii yote, kwa jumla, kuwa kuna watu wanaolazimishwa kufanya kazi nchini Ujerumani, na haiwezekani kuwepo hali ya kuvumilia kuhusiana na utumwa mambo leo na watu kulazimishwa kufanyakazi. Na ni ishara kwa wale wanaofanya hivyo. Wanaweza kukamatwa na inaweza kuwagharimu kwa kiasi kikubwa. Inaweza kuwa sheria ikachukua mkondo wake, inaweza kuwa pia ni kulipa fidia dhidi ya mshtakiwa.
Kwa mtazamo wa kwanza, inaonyesha kuwa kwa muda wa miaka mitatu ya kutokuwa na fedha za kutosha, pamoja na usaidizi unaofikia kiasi cha Euro 600,000, katika mradi huo unaonyesha kupata mafanikio madogo.
Wasi wasi wa kuamini maeneo ya kutoa ushauri ama watendaji kuweza kushtakiwa, ni mkubwa. Utendaji wa mahakama za Ujerumani unaonyesha wasi wasi wa kutoa haki. Na tena baadhi ya wahanga wanakuwa mashahidi, wakati madai yao ya fidia hayaangaliwi, amekosoa mkurugenzi wa taasisi ya Ujerumani ya haki za binadamu, Heiner Bielefeldt. Anaeleza hususan kwamba masuala ya haki za binadamu hayagawanyiki na yako mbele kabisa. Haki za binadamu zina nafasi kubwa kuliko hati ya kuishi nchini.
Pia watu ambao wanajikuta katika hali ya kuishi bila vibali, na ambao huenda pia wamevunja sheria na kusafirishwa kwa kibiashara, pia wana haki za binadamu. Haki ya kibinadamu haihusiani na hadhi aliyonayo mtu, kisheria, katika nchi, pia sio katika uhalali wa viza ya kuishi nchini .
Anayoyasema Bielefeldt hata serikali ya Ujerumani ndio inayoyaamini. Kwa wito wa mkurugenzi wa taasisi hiyo, makubaliano yaliyokwisha fikiwa 2005 yanatarajiwa kuidhinishwa na bunge la Ulaya dhidi ya usafirishaji wa watu.

